sw_tn/2sa/15/16.md

20 lines
323 B
Markdown

# kulitunza kasiri
Hapa neno "kutunza" linamaanisha kutunza.
# katika nyumba ya mwisho
Hii inarejerea nyumba ya mwisho ambayo wangefikia wakati wanaondoka mjini.
# Wakerethi... Wapelethi
Hawa walikuwa watumishi wa Daudi
# Wagiti
Hili ni kundi la watu waliokuwa katika nchi ya Palesitina
# Watu mia sita
"watu 600"