# kulitunza kasiri Hapa neno "kutunza" linamaanisha kutunza. # katika nyumba ya mwisho Hii inarejerea nyumba ya mwisho ambayo wangefikia wakati wanaondoka mjini. # Wakerethi... Wapelethi Hawa walikuwa watumishi wa Daudi # Wagiti Hili ni kundi la watu waliokuwa katika nchi ya Palesitina # Watu mia sita "watu 600"