sw_tn/2sa/15/03.md

12 lines
397 B
Markdown

# Hivyo Absalomu angemwambia
Inaonesha kwamba mtu alimwambia Absalomu shitaka lake. Yaani Absalomu angemwuliza tatizo lake lilikuwa ni nini, ndipo mtu alipomweleza Absalomu kwa nini alitafuta haki.
# Vema na haki
Maneno yana maana moja na yanatumika pamoja kusisitiza kwamba shitaka lake lilikuwa jema.
# kusikiliza kesi yako
"Kusikiliza" shitaka inamaanisha kuisikiliza na kufanya maamuzi.