# Hivyo Absalomu angemwambia Inaonesha kwamba mtu alimwambia Absalomu shitaka lake. Yaani Absalomu angemwuliza tatizo lake lilikuwa ni nini, ndipo mtu alipomweleza Absalomu kwa nini alitafuta haki. # Vema na haki Maneno yana maana moja na yanatumika pamoja kusisitiza kwamba shitaka lake lilikuwa jema. # kusikiliza kesi yako "Kusikiliza" shitaka inamaanisha kuisikiliza na kufanya maamuzi.