sw_tn/2sa/14/01.md

28 lines
594 B
Markdown

# Basi
Neno hili linatumika hapa kuonesha kikomo katika habari kuu. Hapa mwandishi anazungumzia mtu mwingine katika habari.
# Seruya
Hili ni jina la mwanamme
# Kufahamu
Hii inamaana kuwa Yoabu alitambua alichokuwa anafikiri Daudi.
# akapeleka neno Tekoa na kutaka mwanamke mwerevu aletwe.
Hii inamaanisha kuwa alituma mtu akiwa na ujumbe huko Tekoa na kumletea mwanamke.
# Tekoa
Hili ni jina la eneo
# Uwe kama mwanamke aliyeomboleza
Yoabu anatoa mlinganisho, akieleza kwa mwanamke jinsi alivyomtaka aonekane.
# aliyekufa
Hii inarejea kwa mtu aliyekufa, siyo wafu wote kwa jumla.