sw_tn/2sa/12/16.md

32 lines
595 B
Markdown

# Kusihi
Kuombeleza au kuomba kwa hamu kubwa
# kwenda ndani
Daudi alikwenda ndani ya chumba chake alipokuwa peke yake.
# Kumwinua kutoka sakafuni
" na kumsihi kuinuka kutoka chini"
# Ikawa
"Ilitokea"
# Hakuisikiliza sauti yetu
Hapa "sauti" inasisitiza kwamba walikuwa wakiongea.
# Siku ya saba
Hii ni siku ya saba tangu mtoto azaliwe
# Tazama
Usemi unatumika kuwafanya watu wawe "makini"
# Je atajitendeaje ikiwa tutamwambia kwmba mtoto amekufa?!
Watumishi wanauliza swali hili kuonesha hofu yao. Yaani "tunaogopa kwamba anaweza kujidhuru ikiwa tutamwambia kwamba mtoto amekufa!"