sw_tn/2sa/12/11.md

28 lines
705 B
Markdown

# Katika nyumba yako mwenyewe
Hapa "nyumba" ya Daudi inarejerea kwa familia yake.
# Mbele za macho yako
Hapa Daudi anarejerewa kwa kutajwa macho yake kusisitiza ambacho angeona.
# mbele ya Israeli yote
Hapa inaonesha watu wote wa Israeli kujua juu ya kilichotendeka kwa wake zake kama vile wote walishuhudia tukio.
# Wakati wa mchana
Wazo la kufanya jambo "hadharani" au katika njia ambayo watu wanafahamu kinachotendeka kama kinafanyika mchana.
# Kutenda dhambi yako
"alitenda dhambi"
# Kupita
Yahwe amesamehe dhambi ya Daudi. Hii inazungumzwa kama Yahwe anaipitisha dhambi kama kilikuwa kitu alichokipita na kutokukijari.
# Hautakufa
Hatakufa kwa sababu ya kutenda dhambi hii na mwanamke.