# Katika nyumba yako mwenyewe Hapa "nyumba" ya Daudi inarejerea kwa familia yake. # Mbele za macho yako Hapa Daudi anarejerewa kwa kutajwa macho yake kusisitiza ambacho angeona. # mbele ya Israeli yote Hapa inaonesha watu wote wa Israeli kujua juu ya kilichotendeka kwa wake zake kama vile wote walishuhudia tukio. # Wakati wa mchana Wazo la kufanya jambo "hadharani" au katika njia ambayo watu wanafahamu kinachotendeka kama kinafanyika mchana. # Kutenda dhambi yako "alitenda dhambi" # Kupita Yahwe amesamehe dhambi ya Daudi. Hii inazungumzwa kama Yahwe anaipitisha dhambi kama kilikuwa kitu alichokipita na kutokukijari. # Hautakufa Hatakufa kwa sababu ya kutenda dhambi hii na mwanamke.