forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
608 B
Markdown
16 lines
608 B
Markdown
# Hivyo ikawa
|
|
|
|
"Hivyo ikatokea" au "Hivyo ikatendeka". Mwandishi anatumia kifungu hiki kutambulisha tukio jipya katika habari.
|
|
|
|
# Hivyo Daudi akatuma
|
|
|
|
Hapa neno "tuma" linamaanisha Daudi alipeleka mjumbe.
|
|
|
|
# Akawauliza watu ambao wangeweza kujua kuhusu mwanamke
|
|
|
|
Daudi alikuwa anajaribu kutafuta mwanamke yule alikuwa nani. Neno "yeye" inarejea kwa Daudi, lakini inamaanisha mjumbe aliyetumwa na Daudi. Alipaswa kuuliza habari kuhusu mwanamke.
|
|
|
|
# Je siye Bethsheba... naye ni mke wa Uria Mhiti.
|
|
|
|
Swali hili linatoa taarifa na laweza kuandikwa kwa maelezo. Huyu ni Bathsheba... naye ni mke wa Uria Mhiti."
|