sw_tn/2sa/10/15.md

24 lines
482 B
Markdown

# Washami walipoona kwamba wameshindwa na Israeli
Hii yaweza kufasiriwa kama: "Washami walipotambua kuwa Waisraeli walikuwa wanawashinda"
# Hadadezeri... Shobaki
Haya ni majina ya wanaume.
# kutoka ng'ambo ya Mto Frati
Hii inamaanisha upande wa mashariki wa Mto Frati.
# Walikuja kwa Helamu
Hapa "walikuja kwa" yaweza kufasiriwa kuwa "walikwenda kwa" au "walikutanika kwa"
# Helamu
Hili ni jina la sehemu.
# katika kichwa chao
Kifungu hiki kinaoneshwa nafasi ya mamlaka.