# Washami walipoona kwamba wameshindwa na Israeli Hii yaweza kufasiriwa kama: "Washami walipotambua kuwa Waisraeli walikuwa wanawashinda" # Hadadezeri... Shobaki Haya ni majina ya wanaume. # kutoka ng'ambo ya Mto Frati Hii inamaanisha upande wa mashariki wa Mto Frati. # Walikuja kwa Helamu Hapa "walikuja kwa" yaweza kufasiriwa kuwa "walikwenda kwa" au "walikutanika kwa" # Helamu Hili ni jina la sehemu. # katika kichwa chao Kifungu hiki kinaoneshwa nafasi ya mamlaka.