sw_tn/2sa/08/13.md

16 lines
338 B
Markdown

# Jina la Daudi likajulikana sana
Hapa "jina" linarejea kwa heshima ya Daudi. Yaani "Daudi alikuwa maarufu sana"
# Bonde la chumvi
Hili ni jina la mahali. Mahali pake kabisa hapafahamiki.
# Watu elfu themanini.
"watu 18,000"
# Akaweka ngome katika Edomu yote.
"Aliagiza makundi ya askari wake kubaki katika maeneo yote ya Edomu"