# Jina la Daudi likajulikana sana Hapa "jina" linarejea kwa heshima ya Daudi. Yaani "Daudi alikuwa maarufu sana" # Bonde la chumvi Hili ni jina la mahali. Mahali pake kabisa hapafahamiki. # Watu elfu themanini. "watu 18,000" # Akaweka ngome katika Edomu yote. "Aliagiza makundi ya askari wake kubaki katika maeneo yote ya Edomu"