sw_tn/2sa/07/27.md

28 lines
867 B
Markdown

# kwa mtumishi wako kwamba utamjengea nyumba
Daudi anajirejerea kama "mtumishi wako"
# kwamba utamjengea nyumba
Hapa aina hii ya usemi "nyumba" inarejea kwa uzao wa Daudi kuendelea kuwa watawala wa Israeli. Katika 7:3 Yahwe alimwambia Daudi kama angekuwa mjenzi wa nyumba ya Yahwe. Hapa "nyumba" inawakilisha hekalu.
# Basi
Hii haimaanishi "sasa," lakini inatumika kutoa angalizo kwa jambo mhimu lifuatalo.
# maneno yako ni ya kuaminika
Hapa "maneno" yanawakilisha anachosema Yahwe. Yaani: "Ninaamini ukisemacho"
# na kwa baraka yako nyumba ya mtumishi wako itabarikiwa daima
Hii inaweza kutaarifiwa kwa muundo tendaji. Yaani: "na utaendelea kuibariki familia yangu daima.
# nyumba ya mtumishi wako
Hapa Daudi anajirejerea mwenyewe kama "mtumishi wako." Yaani: "nyumba yangu" au "familia yangu"
# nyumba
Hapa "nyumba" inawakilisha familia ya Daudi.