sw_tn/2sa/05/17.md

12 lines
383 B
Markdown

# Daudi alikuwa ametiwa mafuta kama mfalme juu ya Israeli
Hii inaweza kuelezwa katika muundo tendaji. Yaani: "Israeli walikuwa wamemtia mafuta Daudi kama mfalme"
# wakatoka wate wakimtafuta
Kifungu hiki kinarejea kwa baadhi ya Wafilisiti wakimtafuta Daudi.. Kina tia chumvi kuonesha ni kiasi gani Wafilisiti walivyotaka kumpata Daudi.
# Bonde la Mrefai
Hili ni jina la mahali