sw_tn/2sa/04/11.md

16 lines
870 B
Markdown

# Ni kiasi gani zaidi...nisiutake uhai wake kutoka mkononi mwako, na kukuondoa kutoka duniani?
Swali hili linaonesha kwamba watu walikuwa wametenda kosa kubwa sana. Inaweza kutafsiriwa kama taarifa. Yaani: "hata unahatia kubwa zaidi! Ni wajibu wangu kutaka damu yake kutoka mkononi mwako na kukuondoa duniani."
# kutaka damu yake mkononi mwako
Kifungu "damu yake" kinawakilisha uhai wa Ishboshethi. Hapa "kutoka mkononi mwako"inawakilisha Rehab na Baana, wana wa Rimon Mbeerothi kutoka 4:5. Yaani: "tazama unawajibika kwa kifo cha Ishboshethi"
# kata mikono na miguu yao na kuwatundika
Hii yalikuwa matendo ya kuonesha ukali kwa hao watu.
# wakakichukua kichwa cha Ishboshethi na kukizika kaburini
hili lilikuwa ni tendo la kuonesha heshima kwa Ishboshethi. Hii ingeweza kuelezwa kwa ufupi. Yaani "walimweshimu Ishboshethi kwa kuzika kichwa chake kaburini."