sw_tn/2sa/03/09.md

12 lines
463 B
Markdown

# Mungu na anitendee hivyo ...na zaidi pia, ikiwa sifanyi
Huu ni muundo wa nadhiri ya dhati katika siku hizo. Abneri anamwomba Mungu amhukumu kw a ukali asipoitunza nadhiri yake. Lugh yako mara nyingi ina njia ya kuonesha kiapo. Yaani "namwomba Mungu kuniadhibu nisipotenda.
# nyumba ya Sauli
Hapa "nyumba" inaonesha familia na wafuasi wa liosalimiki katika kifo cha Sauli.
# kiti cha enzi cha Daudi
Kifungu hiki kinaonesha mamalaka ya Daudi kama mfalme.