sw_tn/2sa/02/28.md

12 lines
220 B
Markdown

# piga tarumbeta
tarumbeta zilitumika kuashiria agizo kulingana na umbali.
# kuwafuatia Israeli tena
Hapa "Israeli"inaonesha watu waliokuwa wanapigana upande wa Israeli.
# Araba...Mahanaimu
Haya ni majina ya sehemu