# piga tarumbeta tarumbeta zilitumika kuashiria agizo kulingana na umbali. # kuwafuatia Israeli tena Hapa "Israeli"inaonesha watu waliokuwa wanapigana upande wa Israeli. # Araba...Mahanaimu Haya ni majina ya sehemu