forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
1.1 KiB
Markdown
24 lines
1.1 KiB
Markdown
# Kuita
|
|
|
|
"piga kelele"
|
|
|
|
# Ni lazima upanga urarue daima?
|
|
|
|
Swali hili linasisitiza kwamba vita ilikuwa imeendelea muda mrefu. Hapa "upanga" inaonesha mapigano. Mauaji katika vita yanaoneshwa kama mnyama wa mwituni anakula askari. Inamaanisha pia "Hatuitaji kutumia kupigana na kuuana."
|
|
|
|
# Je haujui kwamba itakuwa uchungu mwishowe?
|
|
|
|
Swali linatumika kumlazimisha Yoabu kukubari kwamba kuendelea kupigana kungeishia maafa makubwa. Hapa "uchungu" ni neno lililotumika kuonesha matesa makali ambayo yangetukia.
|
|
|
|
# Je hata lini utawazuia watu wako wasiwafuatie ndugu zao.
|
|
|
|
Swali hili linakusudiwa kumshawishi Yoabu kuacha kupigana na Waisraeli wenzake. Hapa "ndugu" inawakilisha watu wa taifa la Israeli. Yaani "Acha sasa jambo hili ili Waisraeli wasiendelee kuuana.
|
|
|
|
# kama Mungu aishivyo
|
|
|
|
Hiki ni kiapo kikubwa sana. Inamaana ya "pamoja na Mungu kama shahidi wangu" au "Mungu anathibitisha kuwa namaanisha ninachosema."
|
|
|
|
# kama usingesema hivyo...kuwafuatia ndugu zao hata asubuhi
|
|
|
|
Taarifa hii ya kukisia inaongelea ambacho kingetokea kama Abneri asingemwambia Yoabu kwa hekima.
|