sw_tn/2sa/02/20.md

12 lines
275 B
Markdown

# Asaheli
Hili ni jina la mwanaume
# Kugeuka...geuka upande
"usinifuate...acha kumfuata Abneri"
# kamata mmojawapo ya vijana na uchukue silaha yake
Abneri alikuwa akimwambia Asaheli kuua na kumteka askari kijana ambaye siyo hatari kama Abneri. Hakutaka kumwua Asaheli.