sw_tn/2sa/02/06.md

16 lines
336 B
Markdown

# Maelezo kwa Jumla
Daudi anaongea na watu wa Yabeshi Gileadi
# Jambo hili
Walimzika Sauli
# mikono yenu itiwe nguvu
Hapa "mikono" inawaonesha watu wa Yabeshi Gileadi. Yaani "mwe imara"
# wamenitia mafuta kuwa mfalme
Katika tendo hili, walimimina mafuta juu ya kichwa cha Daudi kuonesha kwamba alikuwa amechaguliwa kuwa mfalme.