# Maelezo kwa Jumla Daudi anaongea na watu wa Yabeshi Gileadi # Jambo hili Walimzika Sauli # mikono yenu itiwe nguvu Hapa "mikono" inawaonesha watu wa Yabeshi Gileadi. Yaani "mwe imara" # wamenitia mafuta kuwa mfalme Katika tendo hili, walimimina mafuta juu ya kichwa cha Daudi kuonesha kwamba alikuwa amechaguliwa kuwa mfalme.