forked from WA-Catalog/sw_tn
32 lines
1.0 KiB
Markdown
32 lines
1.0 KiB
Markdown
# Jinsi wenye uwezo walivyoanguka
|
|
|
|
Kifungu hiki kinajirudia katika mstari wa 25 na 27 kusistiza kwamba mashujaa hodari wa Israeli wamekufa. Inaweza pia kuwa "Watu wenye uwezo wamekufa vitani.
|
|
|
|
# wenye nguvu
|
|
|
|
"nguvu" hapa ina wingi na inaweza kumhusu Sauli na Yonathani pekee, au askari wote wa Israeli. Inaweza pia kuwa mashujaa wenye nguvu.
|
|
|
|
# wameanguka
|
|
|
|
hii ni njia laini ya kusema "wamekufa vitani."
|
|
|
|
# Yonathani amekufa
|
|
|
|
Hii inaweza kutaarifiwa katika kauli tendaji. Yaani "Yonathani amekufa vitani" au adui amemwua Yonathani"
|
|
|
|
# Juu ya mahali pako pa juu
|
|
|
|
Daudi anaendelea kuielekeza sehemu hii ya wimbo katika milima ya Gilboa kama alivyoanza katika 1:21.
|
|
|
|
# Yonathani ndugu yangu
|
|
|
|
"ndugu" hapa imetumika katika hali ya urafiki wa karibu sana.
|
|
|
|
# Upendo wako kwangu ulikuwa wa ajabu, kupita upendo wa wanawake.
|
|
|
|
Hapa "upendo" umetumika katika hali ya urafiki na uaminifu. Uaminifu wa Yonathani kwa Daudi ulikuwa mkuu kuliko uaminifu alionao mwanamke kwa mmewew na watoto.
|
|
|
|
# silaha za vita zimeangamizwa
|
|
|
|
"silaha zao zimeharibiwa"
|