sw_tn/2pe/02/15.md

16 lines
425 B
Markdown

# Wameiacha njia ya kweli, wamepotoka na wamefuata...
"walimu wa uongo .wameiacha...wamepotoka..wamefuata". Walimu wa uongo wamekataa kumtii Mungu kwa kukataa kilicho sahihi
# aliyependa kupata malipo yasiyo haki
alipokokea malipo ya anasa na yenye matendo ya dhambi
# Lakini alikemwa kwa ajili ya ukosaji wake
alionywa vikali kwa kutokutii kwake
# alizuia wazimuwa nabii
Mungu alitumia punda kuzuia upumbavu wa nabii