sw_tn/2ki/25/20.md

20 lines
480 B
Markdown

# Nebuzaradani
Hili nina la mtu.
# Ribla
Hili ni jina la mahali.
# kuwaua
Hii ni njia nzuri ya kusema "wameuawa." Inaweza kuwa nzuri kutafsiri ili kwamba msomaji aelewe kwamba watu wengine wamemsaidia mfalme kufanya jivyo.
# Katika njia hii, Yuda aliiacha nchi yake kwenda uhamishoni
"Hivyo Yuda alichukuliwa kutoka kwenye nchi yake kwenda uhamishoni"
# Yuda aliiacha nchi yake
Yuda, jina la kundi la watu, ni kati ya watu wenyewe. Watu wa Yuda walitoka katika nchi yao"