sw_tn/2ki/25/20.md

480 B

Nebuzaradani

Hili nina la mtu.

Ribla

Hili ni jina la mahali.

kuwaua

Hii ni njia nzuri ya kusema "wameuawa." Inaweza kuwa nzuri kutafsiri ili kwamba msomaji aelewe kwamba watu wengine wamemsaidia mfalme kufanya jivyo.

Katika njia hii, Yuda aliiacha nchi yake kwenda uhamishoni

"Hivyo Yuda alichukuliwa kutoka kwenye nchi yake kwenda uhamishoni"

Yuda aliiacha nchi yake

Yuda, jina la kundi la watu, ni kati ya watu wenyewe. Watu wa Yuda walitoka katika nchi yao"