sw_tn/2ki/25/08.md

454 B

katika mwezi wa tano, siku ya saba ya mwezi

Huu ni mwezi wa tano wa kalenda ya Kiebrania. Siku ya saba ikaribu na mwezi wa Saba kwenye kalenda ya Kaskazini.

mwaka wa kumi na tisa

Hii ni namba ya mpangilio ya namba 19.

Nebuzaradani

Hili ni jina la mtu.

Kama kwa kuta zote zilizozunguka Yerusalemu, yote

"Hivi ndivyo ilivyotokea kwa kuta zote zilizoizunguka Yerusalemu: yote"

ambaye alikuwa chini ya

"ambaye alikuwa akifuata maagizo ya"