sw_tn/2ki/25/08.md

20 lines
454 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# katika mwezi wa tano, siku ya saba ya mwezi
Huu ni mwezi wa tano wa kalenda ya Kiebrania. Siku ya saba ikaribu na mwezi wa Saba kwenye kalenda ya Kaskazini.
# mwaka wa kumi na tisa
Hii ni namba ya mpangilio ya namba 19.
# Nebuzaradani
Hili ni jina la mtu.
# Kama kwa kuta zote zilizozunguka Yerusalemu, yote
"Hivi ndivyo ilivyotokea kwa kuta zote zilizoizunguka Yerusalemu: yote"
# ambaye alikuwa chini ya
"ambaye alikuwa akifuata maagizo ya"