forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
415 B
Markdown
12 lines
415 B
Markdown
# Katika siku za Yehoyakimu
|
|
|
|
"Katika kipindi ambacho Yehoyakimu alipoitawala Yuda"
|
|
|
|
# akaiteka Yuda
|
|
|
|
"aliiteka na kuishinda Yuda"
|
|
|
|
# Hii ilikuwa ni kuthibitisha pamoja na neno la Yahwe ambalo aliloliongea kupitia watumishi wake manabii
|
|
|
|
"Hii ilikuwa inatokana na neno la Yahwe kwamba watumishi wake manabii walipo nena" au "Hii ilikuwa dhahiri kile Yahwe alichowaambia watumishi wake manabii kusema kitakachotokea"
|