sw_tn/2ki/24/01.md

415 B

Katika siku za Yehoyakimu

"Katika kipindi ambacho Yehoyakimu alipoitawala Yuda"

akaiteka Yuda

"aliiteka na kuishinda Yuda"

Hii ilikuwa ni kuthibitisha pamoja na neno la Yahwe ambalo aliloliongea kupitia watumishi wake manabii

"Hii ilikuwa inatokana na neno la Yahwe kwamba watumishi wake manabii walipo nena" au "Hii ilikuwa dhahiri kile Yahwe alichowaambia watumishi wake manabii kusema kitakachotokea"