sw_tn/2ki/23/10.md

24 lines
512 B
Markdown

# Tofeli ... Ben Hinomi
majina ya mahali
# akamuweka mwanaye au binti yake kwenye moto kama sadaka ya Molaki
"kumuweka mwanaye au bintiye katika moto na kuwachoma kama sadaka kwa Molaki"
# Akachukua
Inaweza kuwa njia bora kutafsiri ili kwamba msomaji aelewe kwamba watu wengine, huenda Hilkia na "makuhani chini yake," wanaweza kumsaidia Yosia kufanya hivyo.
# farasi
Maana ziwezekanazo ni 1) farasi halisi 2) sanamu za farasi.
# alitoa kwa jua
"alitumika kuabudu jua."
# Nathani Meleki
jina la kiume