sw_tn/2ki/23/10.md

512 B

Tofeli ... Ben Hinomi

majina ya mahali

akamuweka mwanaye au binti yake kwenye moto kama sadaka ya Molaki

"kumuweka mwanaye au bintiye katika moto na kuwachoma kama sadaka kwa Molaki"

Akachukua

Inaweza kuwa njia bora kutafsiri ili kwamba msomaji aelewe kwamba watu wengine, huenda Hilkia na "makuhani chini yake," wanaweza kumsaidia Yosia kufanya hivyo.

farasi

Maana ziwezekanazo ni 1) farasi halisi 2) sanamu za farasi.

alitoa kwa jua

"alitumika kuabudu jua."

Nathani Meleki

jina la kiume