sw_tn/2ki/22/11.md

1.2 KiB

Ikawa kwamba

Kama lugha yako ina njia ya kuweka alama mwanzoni mwa sehemu mpya ya hadithi, fikiria kuitumia hapa.

aliposikia maneno ya sheria

Hapa "maneno" huwakilisha ujumbe wa sheria. "alisikia sheria iliyokuwa imeandikwa katika kitabu" au alisikia sheria iliyokuwa imeandikwa katika hati ya kukunja"

alirarua mavazi yake

Hii ni alama inayoashiria huzuni kubwa sana au masikitiko.

Ahikamu ... Shafani ... Akbori ... Mikaya ... Asaya

Haya ni majina ya wanaume.

kujadiliana na Yahwe

Imewekwa wazi katika 22:14 kwamba watu wangeweza kujadiliana na Yahwe kubainisha mapenzi yake.

mjadala

kwenda kwa mtu kutafuta ushauri

maneno ya hiki kitabu yaliyopatikana

Hapa "maneno" yanawakilisha sheria. "sheria katika hiki kitabu ambacho hilikia amekikuta"

Kwa kuwa hasira kubwa ya Yahwe ambayo ametukasirikia dhidi yetu

Hasira ya Yahwe inazungumziwa kana kwamba ulikuwa mto uliokuwa unawaka. "Kwa kuwa Yahwe anahasira sana na sisi"

yote yaliandikwa kuhusiana na sisi

Hii inarejea kwenye sheria iliyokuwa imetolewa na Israeli. "yote ambayo Musa aliyoyaandika katika sheria ambayo tunatakiwa kuyafanya" au "sheria yote ya Mungu aliyoitoa kupitia Musa kwa watu wa Israeli"