sw_tn/2ki/22/11.md

36 lines
1.2 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ikawa kwamba
Kama lugha yako ina njia ya kuweka alama mwanzoni mwa sehemu mpya ya hadithi, fikiria kuitumia hapa.
# aliposikia maneno ya sheria
Hapa "maneno" huwakilisha ujumbe wa sheria. "alisikia sheria iliyokuwa imeandikwa katika kitabu" au alisikia sheria iliyokuwa imeandikwa katika hati ya kukunja"
# alirarua mavazi yake
Hii ni alama inayoashiria huzuni kubwa sana au masikitiko.
# Ahikamu ... Shafani ... Akbori ... Mikaya ... Asaya
Haya ni majina ya wanaume.
# kujadiliana na Yahwe
Imewekwa wazi katika 22:14 kwamba watu wangeweza kujadiliana na Yahwe kubainisha mapenzi yake.
# mjadala
kwenda kwa mtu kutafuta ushauri
# maneno ya hiki kitabu yaliyopatikana
Hapa "maneno" yanawakilisha sheria. "sheria katika hiki kitabu ambacho hilikia amekikuta"
# Kwa kuwa hasira kubwa ya Yahwe ambayo ametukasirikia dhidi yetu
Hasira ya Yahwe inazungumziwa kana kwamba ulikuwa mto uliokuwa unawaka. "Kwa kuwa Yahwe anahasira sana na sisi"
# yote yaliandikwa kuhusiana na sisi
Hii inarejea kwenye sheria iliyokuwa imetolewa na Israeli. "yote ambayo Musa aliyoyaandika katika sheria ambayo tunatakiwa kuyafanya" au "sheria yote ya Mungu aliyoitoa kupitia Musa kwa watu wa Israeli"