sw_tn/2ki/22/08.md

231 B

Hilkia

Hili ni jina la mwanamume.

Kitabu cha sheria

Sheria zipendwazo sana ziliandikwa kwenye hati ya kukunja kuliko kwenye kitabu.

zilitolewa kwenye mkono wa wafanyakazi

Hapa "mkono" unawakilisha wafanyakazi kama wote.