# Hilkia Hili ni jina la mwanamume. # Kitabu cha sheria Sheria zipendwazo sana ziliandikwa kwenye hati ya kukunja kuliko kwenye kitabu. # zilitolewa kwenye mkono wa wafanyakazi Hapa "mkono" unawakilisha wafanyakazi kama wote.