sw_tn/2ki/22/06.md

753 B

Maelezo ya Jumla:

Ujumbe kutoka kwa Mfalme Yosia kwa Hilkia, kuhani mkuu, anaendelea.

Waacheni wapewe pesa ... walipewa ... kwa sababu waliimudu

Hapa "wao" na "-wa" inarejea kwa wafanyakazi ambao ni wasimamizi wa nyumba ya Yahwe katika 22:3.

mafundi seremala, wajenzi, na waashi

Hawa ni sawa na wafanyakazi waliopo katika nyumba ya Yahwe katika 22:3. Hapa wafanya kazi wanaelezwa kinaganaga zaidi.

wajenzi

watenda kazi wajengao kwa mbao

waashi

watenda kazi wajengao kwa mawe

zile pesa hazikutakiwa kuhesabiwa wakati walipokuwa wanapewa

"watenda kazi waliokuwa wasimamizi hawakutoa taarifa jinsi walivyotumia pesa ambayo walinzi wa hekalu waliwapatia"

kwa sababu walizimudu kwa uaminifu

"kwa sababu walitumia pesa kwa unyoofu"