sw_tn/2ki/22/06.md

28 lines
753 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Ujumbe kutoka kwa Mfalme Yosia kwa Hilkia, kuhani mkuu, anaendelea.
# Waacheni wapewe pesa ... walipewa ... kwa sababu waliimudu
Hapa "wao" na "-wa" inarejea kwa wafanyakazi ambao ni wasimamizi wa nyumba ya Yahwe katika 22:3.
# mafundi seremala, wajenzi, na waashi
Hawa ni sawa na wafanyakazi waliopo katika nyumba ya Yahwe katika 22:3. Hapa wafanya kazi wanaelezwa kinaganaga zaidi.
# wajenzi
watenda kazi wajengao kwa mbao
# waashi
watenda kazi wajengao kwa mawe
# zile pesa hazikutakiwa kuhesabiwa wakati walipokuwa wanapewa
"watenda kazi waliokuwa wasimamizi hawakutoa taarifa jinsi walivyotumia pesa ambayo walinzi wa hekalu waliwapatia"
# kwa sababu walizimudu kwa uaminifu
"kwa sababu walitumia pesa kwa unyoofu"