sw_tn/2ki/21/19.md

267 B

Amoni ... Haruzi

Haya ni majina ya wanaume.

Meshlemethi;

Hili ni jina la mwanamke.

Yotba

Hili ni jina la mji.

yaliyo maovu usoni mwa Yahwe

"uovu" "mambo ambayo ... uovu." Hapa "uso" wa Yahwe unarejea vile ahukumuvyo au kuamua juu ya uthamani wa jambo.