# Amoni ... Haruzi Haya ni majina ya wanaume. # Meshlemethi; Hili ni jina la mwanamke. # Yotba Hili ni jina la mji. # yaliyo maovu usoni mwa Yahwe "uovu" "mambo ambayo ... uovu." Hapa "uso" wa Yahwe unarejea vile ahukumuvyo au kuamua juu ya uthamani wa jambo.