sw_tn/2ki/21/07.md

705 B

Maelezo ya Jumla:

Hadithi ya utawala wa Mfalme inaendelea.

ambayo aliitengeneza

Manase ni kama hakufanya kazi. Watumishi wake walimaliza kufanya kazi. "ambayo Manase aliagiza watenda kazi wake waifanye"

ambako nitaliweka jina langu milele

"ambako nataka watu wangu waniabudu milele"

miguu ya Israeli

Miguu ni mfani wa kwenye Biblia kwa ajili ya mtu, na jina la kundi la watu ni mfano wa watu wenyewe. "Waisraeli"

hata zaidi kuliko yale ya mataifa ambayo Yahwe aliyaharibu mbele ya watu wa Israeli

Hapa "mataifa" inawarejea watu ambao waliishi katika ya "Kanaanani" kabla ya Waisraeli hawajafika. "hata zaidi ya watu ambao Yahwe aliwaangamiza kama watu wa Israeli kuendelea kwenye nchi"