forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
705 B
Markdown
20 lines
705 B
Markdown
|
# Maelezo ya Jumla:
|
||
|
|
||
|
Hadithi ya utawala wa Mfalme inaendelea.
|
||
|
|
||
|
# ambayo aliitengeneza
|
||
|
|
||
|
Manase ni kama hakufanya kazi. Watumishi wake walimaliza kufanya kazi. "ambayo Manase aliagiza watenda kazi wake waifanye"
|
||
|
|
||
|
# ambako nitaliweka jina langu milele
|
||
|
|
||
|
"ambako nataka watu wangu waniabudu milele"
|
||
|
|
||
|
# miguu ya Israeli
|
||
|
|
||
|
Miguu ni mfani wa kwenye Biblia kwa ajili ya mtu, na jina la kundi la watu ni mfano wa watu wenyewe. "Waisraeli"
|
||
|
|
||
|
# hata zaidi kuliko yale ya mataifa ambayo Yahwe aliyaharibu mbele ya watu wa Israeli
|
||
|
|
||
|
Hapa "mataifa" inawarejea watu ambao waliishi katika ya "Kanaanani" kabla ya Waisraeli hawajafika. "hata zaidi ya watu ambao Yahwe aliwaangamiza kama watu wa Israeli kuendelea kwenye nchi"
|