sw_tn/2ki/20/14.md

571 B

hawa watu

Hii inarejea kwa watu waliotumwa kwa Mfalme Hezekia pamoja na ujumbe na zawadi kutoka Berodaki Baladani.

Wameona kila kitu kwenye nyumba yangu. Hakuna kitu miongoni mwa vitu vyangu vya thamani ambavyo sijawaonyesha

Hezekia anatubu katika wazo hilo hilo katika njia mbili kusisitiza hatua yake.

Hakuna kitu miongoni mwa vitu vyangu vya thamani ambavyo sijawaonyesha

"Hakuna jambo" na "hakuna" shauriana wenyewe kwa wenyewe nje kufanya wazo chanya. Huu ubaguzi umetumika kwa ajili ya kusisitiza. "Nimewaonyesha hasa kila mmoja vitu vyangu vya thamani"