forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
571 B
Markdown
12 lines
571 B
Markdown
|
# hawa watu
|
||
|
|
||
|
Hii inarejea kwa watu waliotumwa kwa Mfalme Hezekia pamoja na ujumbe na zawadi kutoka Berodaki Baladani.
|
||
|
|
||
|
# Wameona kila kitu kwenye nyumba yangu. Hakuna kitu miongoni mwa vitu vyangu vya thamani ambavyo sijawaonyesha
|
||
|
|
||
|
Hezekia anatubu katika wazo hilo hilo katika njia mbili kusisitiza hatua yake.
|
||
|
|
||
|
# Hakuna kitu miongoni mwa vitu vyangu vya thamani ambavyo sijawaonyesha
|
||
|
|
||
|
"Hakuna jambo" na "hakuna" shauriana wenyewe kwa wenyewe nje kufanya wazo chanya. Huu ubaguzi umetumika kwa ajili ya kusisitiza. "Nimewaonyesha hasa kila mmoja vitu vyangu vya thamani"
|