sw_tn/2ki/20/10.md

294 B

Ni kitu chepesi kwa kivuli kwenda mbele hatua kumi

Kwa nini "ni kitu rahisi" kinaweza kuanza wazi. "Ni rahisi kusababisha kivuli kwenda mbele hatua kumi, kwa sababu hicho ni kitu cha kawaida kufanya"

ngazi za Ahazi

Hii ilikuwa ni kama ngazi ya pekee ilijengwa kwa ajili ya Mfalme Ahazi.