sw_tn/2ki/20/10.md

8 lines
294 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ni kitu chepesi kwa kivuli kwenda mbele hatua kumi
Kwa nini "ni kitu rahisi" kinaweza kuanza wazi. "Ni rahisi kusababisha kivuli kwenda mbele hatua kumi, kwa sababu hicho ni kitu cha kawaida kufanya"
# ngazi za Ahazi
Hii ilikuwa ni kama ngazi ya pekee ilijengwa kwa ajili ya Mfalme Ahazi.