sw_tn/2ki/19/29.md

16 lines
387 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Hapa Isaya anaongea na Mfalme Hezekia. Anaendelea kutumia msambamba wowote.
# viotavyo porini
"viotavyo bila kupandandwa,"
# Mabaki ya nyumba ya Yuda ambayo yataokoka yatachukua tena mizizi na kuzaa matunda
"Watu wa Yuda waliosalia hai watafufuliwa uzima wao na ustawi."
# Wivu wa Yahwe wa majeshi utafanya hivyo
"Tendo thabiti la Yahwe litafanya hii itokee."