sw_tn/2ki/19/29.md

387 B

Maelezo ya Jumla:

Hapa Isaya anaongea na Mfalme Hezekia. Anaendelea kutumia msambamba wowote.

viotavyo porini

"viotavyo bila kupandandwa,"

Mabaki ya nyumba ya Yuda ambayo yataokoka yatachukua tena mizizi na kuzaa matunda

"Watu wa Yuda waliosalia hai watafufuliwa uzima wao na ustawi."

Wivu wa Yahwe wa majeshi utafanya hivyo

"Tendo thabiti la Yahwe litafanya hii itokee."