sw_tn/2ki/19/25.md

679 B

Maelezo ya Jumla:

Hii inaendeleza ujumbe wa Yahwe, uliotolewa kwa Isaya, nabii, kwa ajili ya Mfalme Hezekia kuhusiana na Mfalme Senakeribu.

hukusikia jinsi ... zamani?

Kufanya hatua imara hili swali linasadiki msikilizaji kujua jibu. "Hakika unajua jinsi ... zamani."

miji isiyoingilika

"miji ambayo haiwezi kunyakuliwa" au "miji iliyzizunguka kuta ndefu" (UDB)

mimea katika shamba, majani ya kijani

Hii picha inalinganisha majanga dhaifu ya Ashuru mimea dhaifu kuendelea. "kama mimea dhaifu na majani katika shamba" (UDB)

majani juu kwenye dari au kwenye shamba, lililochomwa kabla halijakua

Hii inaendeleza kulinganisha picha ya waathiriwa dhaifu wa Ashuru.